UDSM Yatoa Saa 48 wanafunzi wote kuondoka.

0
194

Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) Kimewataka wanafunzi wote kuhakikisha ifikapo Ijumaa Machi 20, 2020 wawe wameondoka kurejea Nyumbani.