KitaifaUapisho wa Viongozi mbalimbaliBy James Range - October 1, 20220167ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Samia Suluhu Hassan, amuapisha Msajili wa Mahakama ya Rufani, Jaji wa Mahakama Kuu, Mwenyekiti pamoja na Wajumbe wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma