Tukishindwa hapa tutashindwa mradi mwingine

0
183

“Kwakuwa tutakuwa tumeshaanza na tuna miundombinu itarahisisha maongezi, pengine tukagundua mahali kuna mafuta pasipokuwa na huu mradi uliotangulia tutashindwa kupembua huo mradi mwingine na kuweza kuufanikisha. Haya ni manufaa ya kimkakati.

Mradi unatuleta pamoja kama Afrika Mashariki na tumeona katika kipindi cha miaka miwili cha UVIKO 19 ujumbe uliokuja kwetu ni tujenge uchumi ambao tupo tayari kuuza kwa ndugu majirani zetu na kuchukua vitu kutoka kwao,” amesema IVAN TARIMO,
Mchumi na mchambuzi wa takwimu za uchumi