Tanzania na Kenya wameingia makubaliano ya ushirikiano katika Masuala ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia.
Prof Joyce Ndalichako , Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia na Prof. George Magoha, Waziri wa Elimu wa Jamhuri ya Kenya wakionesha Nyaraka za Makubaliano ya Ushirikiano leo Tarehe 24 Agosti, 2021 Jijini Nairobi nchini Kenya