KitaifaStar Times yatoa gawio kwa SerikaliBy TBC - January 8, 20200175ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Kampuni ya Star Media Tanzania ambayo ni mbia na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wametoa gawio la shilingi milioni 500 kwa serikaliHii ni mara ya kwanza kwa Kampuni huyo kutoa gawio kwa Serikali