Siku ya Kimataifa ya familia

0
151
A family smiling outdoors for a picture

Mwaka 1989 mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa ulitangaza rasmi kuwa tarehe 15 ya mwezi Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Familia, ikiwa na lengo la kutoa kipaumbele juu ya masuala yote yanayohusu familia na jamii.

Umoja wa Mataifa umetenga siku hii kwa ajili ya kutoa fursa ya kuchangia uelewa wa masuala yanayoathiri familia yakiwemo ya kijamii kiuchumi na kidemografia.

Siku ya Familia inatoa fursa pia ya kujadili haki za kila mwanafamilia bila kujali hali yake.

Je, wewe unaithamini familia yako kwa kiasi gani?.

Tuandikie maoni hapo chini.