Siku 7 kuomboleza kifo cha Dkt. Kaunda

0
149

Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza siku 7 za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Rais wa kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda, kilichotokea tarehe 17 mwezi huu mjini Lusaka Zambia.

Katika kipindi hicho cha maombolezo, bendera zote zitapepea nusu mlingoti.