SHEIKH MKUU WA TANZANIA ABOUBAKARY ZUBEIRY Bin ALLY ATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA MOTO YA MOROGORO

0
1429
Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Aboubakar Zubeiry bin Ally akiongoza Dua fupi ya kuwaombea majeruhi waliolazwa wodini katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutokana na majeraha waliopata katika ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Uuguzi wa Muhimbili, Bw. Yassin Munguatosha. Sheikh Mkuuametembelea majeruhi wa ajali ya moto na kuwapa pole na kuwaombea Dua ili mwenyezi Mungu awape wepesi wa kupona haraka.

Mufti Mkuu wa Tanzania,  Sheikh Aboubakar Zubeiry bin Ally  akielekea katika wodi walikolazwa majeruhi wa moto katika Hospitali ya Muhimbili.