Makarani wa sensa wakiendelea na kazi ya kuchukua taarifa za wananchi mbalimbali, katika eneo la Tandale mkoani Dar es Salaam.
Zoezi la sensa ya watu na makazi lililoanza tarehe 23 mwezi huu linaendelea katika maeneo mbalimbali nchini, ambapo leo ni siku ya tatu.