Duwa ya kuliombea Bunge na Taifa

0
165



Baadhi ya wabunge wakimuomba Mungu wakati wa Sala ya kuliombea Bunge na Taifa mapema hii leo, ikiwa ni ishara ya kuanza kwa kikao cha sita cha mkutano wa nane wa Bunge Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mbali na kipindi cha maswali na majibu, kwa siku ya leo Bunge pia litapata fursa ya kujadili Itifaki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki itakayoongeza mahakama ya Afrika Mashariki katika vyombo vya Jumuiya hiyo.