Ripoti 21 za ukaguzi mezani leo

0
91

Mkutano wa 15 wa Bunge la bajeti unaendelea jijini Dodoma ambapo leo Aprili 15, 2024 pamoja na mambo mengine, ripoti 21 za ukaguzi zitasomwa na Waziri wa Fedha Dkt.Mwigulu Nchemba.

Tutakuwa mbashara kuanzia saa 3:00 asubuhi hii kupitia TBC1, TBC Taifa na mitandao ya kijamii kwa anwani ya TBConline.