Ramadhani Kingai sasa DCI

0
148

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Kamishna Msadizi wa Polisi Ramadhani Kingai kuwa Mkurugenzi mpya wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).

Kabla ya uteuzi huo Kingai alikuwa Kamanda wa polisi mkoani Kigoma.