Dkt. Mwinyi ashiriki mazoezi ya kitaifa Zanzibar

0
177
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi akishiriki katika Tamasha la Mazoezi ya Kitaifa ya Viungo Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla na Mkewe Mama Sharifa Omar Khalfan (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Zuberi Ali Maulid, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi na Mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Idrisa Kitwana Mustafa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Zuberi Ali Maulid, wakishiriki mazoezi ya pamoja ya viungo yakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Omar Hassan King, baada ya kumaliza matembezi katika viwanja vya Amaan jijini Zanzibar, wakati wa Tamasha la Kitaifa la Mazoezi ya Viungo Zanzibar lililofanyika leo.