Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais Mtendaji wa Kampuni ya Equinor inayoshughulikia utafiti na uzalishaji wa Mafuta na Gesi kimataifa, Al Cook mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Agosti 24, 2022.

0
99