Rais Samia Suluhu Hassan aaga mwili wa Mzindakaya

0
214

Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza viongozi mbalimbali kuaga mwili wa Marehemu Chrisant Mzindakaya katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay mkoani Dar es Salaam.

Mzindakaya alifariki dunia Juni 7, 2021 na anatarajiwa kuzikwa Sumbawanga mkoani Rukwa.