Rais Samia na wadau wa kilimo Marekani

0
98

Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya majadiliano na wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo wakiwemo viongozi wa Serikali ya Marekani, wamiliki wa kampuni binafsi na taasisi zisizo za Kiserikali mjini Iowa nchini Marekani.