KimataifaKitaifaRais Samia kufanya ziara ChinaBy Adrina mariki - October 27, 20220260ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kitaifa nchini China kuanzia tarehe 2 hadi 4 mwezi Novemba mwaka huu kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping wa Taifa hilo.