Rais Samia ateta na bosi wa UNHCR

0
146

Rais Samia Suluhu Hassan, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wakimbizi (UNHCR) Filippo Grandi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.