Rais Samia apewa tuzo ya mwongozaji bora wa watalii 2022

0
287

Rais Samia Suluhu Hassan amepewa Tuzo ya Mwongozaji Bora wa Watalii kwa mwaka 2022.

Rais Samia amepewa tuzo hiyo leo katika ufunguzi wa Maonesho ya Swahili International Tourism Expo (S!TE) 2022 yaliyofanyika viwanja vya Mlimani City, mkoani Dar es Salaam.

Tuzo hiyo imetolewa na Chama cha Waongoza Watalii nchini ambapo imepolelewa na Makamu wa Rais, Dkt. Phili Mpango.