KitaifaRAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CCM (NEC)By TBC - November 13, 20220150ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM, Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.