Rais Samia aipa kongole Yanga

0
122

Rais Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam kwa kufanikiwa kutinga hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika, baada ta kuiondoa Club Africain ya Tunisia kwa kuifunga bao moja kwa bila.