Rais Samia afanya uteuzi GBT

0
181

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Modest Mero (Mstaafu) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Michezo ya Kubahatisha (GBT).

Balozi Mero ni Mkurugenzi wa Bodi ya Kampuni ya African Discovery Group, New York nchini Marekani.

Uteuzi huo unaanza mara moja.