KitaifaRais Magufuli kuanza ziara Njombe akitokea RuvumaBy TBC - April 9, 20190189ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Njombe pamoja na Wananchi wakionekana wenye bashasha katika kata ya Kifanya mkoani humo, wakimsubiri Rais John Magufuli anayetarajia kuanza ziara yake ya kikazi akitokea mkoani Ruvuma.