Rais John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli, leo wameshiriki ibada ya Jumatano ya Majivu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam.
Ibada hiyo imeongozwa na Paroko wa Kanisa hilo Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay,- Alister Makubi.