KitaifaRais Magufuli akutana na Askofu GwajimaBy Hamis Hollela - June 3, 20190563ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima Ikulu jijini Dar es Salaam.