Rais Magufuli afanya mazunguzmo na Waziri Erikkson

0
358

Rais  John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na
Waziri wa Ushirikiano wa  Kimataifa na Maendeleo wa Sweden, – Peter Erikkson Ikulu jijini Dar es salaam, mazungumzo yaliyohudhuriwa pia na Balozi wa Sweden nchini Andres Sjoberg.