Rais kwenye mazungumzo na Spika wa bunge la China

0
434

Rais Samia Suluhu Hassan na ujumbe wake wakiwa kwenye mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Watu wa China, Li Zhanshu jijini Beijing.