Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao.
Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100.
Wakuu hao wapya wa wilaya ni
- Felician Gasper Mtahengerwa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha
- Marko Henry Ngu’mbi – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido
- Emmanuela Kaganda Mtatifikolo – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru.
- Gerald R. Mongella – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chemba
- Kanali Boniphace Magembe – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Geita
- Leah Lucas Ulaya – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe
- Deusdedith Josephat Katwale – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya Chato
- Grace Henry Kingalame – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale
- Dkt. Linda Peniel Salekwa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mufindi
- Dkt. Abel Mwendawile Nyamahanga – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Muleba
- Japhet Mosses Maganga – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa
- Erasto Yohana Sima – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukoba
- Julius Kalanga Laiser – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karagwe
- Dinah Elias Mathamani – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza
- Dkt. Christopher David Timbuka – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Siha
- Amir Mohamed Mkalipa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
- Kasilda Jeremia Mgeni – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Same
- Goodluck Asaph Mlinga – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale
- Chistopher E. Ngubiagai – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilwa
- Beno Morris Malisa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya
- Josephine Keenja Manase – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyela
- Jaffar Mohamed Haniu – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rungwe
- Rebeca Sanga Msemwa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro
- Shaka Hamdu Shaka – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa
- Rachel Stephen Kasanda – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu
- Hassan Omary Bomboko – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe
- Victoria Charles Mwanziva – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ludewa
- Kanali Joseph Samwel Kolombo – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibiti
- Zephania Stephan Sumaye – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mafia
- Lazaro Killian Komba– Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo
- Dkt. Jane Chacha Nyamsenda – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga
- Wilman Kapenjama Ndile – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Songea
- Mboni Mohamed Mhita – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama
- Farida Salum Mgomi – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ileje
- Solomon Jonas Itunda – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Songwe
- Zakaria Saili Mwansasu – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uyui
- Naitapwaki Lumeya Tukai – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega