Rais atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya wa Rufiji

0
441

Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani.

Sawala anachukua nafasi ya Bw. Juma Njwayo ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Uteuzi wa Sawala unaanza leo tarehe 30 Julai, 2020.