KitaifaRais atengua uteuzi wa DEDBy TBC - April 18, 20230237ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Sekiete Yahaya Selemani, Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Mwanza kuanzia Aprili 16, 2023.