KimataifaKitaifaRais ampongeza waziri mkuu wa UKBy TBC - October 25, 20220633ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Samia Suluhu Hassan amemtumia salamu za pongezi Rishi Sunak kwa kuwa Waziri Mkuu wa 57 wa Uingereza.Katika salamu zake za pongezi, Rais Samia amemuhakikishia Sunak kuwa, Tanzania itaendelea kuimarisha ushirikiano wake na Uingereza.