PRECISION YAOPOLEWA

0
190

Kazi ya kuopoa kutoka kwenye maji ndege ya Shirika la ndege la Precision iliyopata ajali tarehe 6 mwezi huu mkoani Kqgera, imekamilika.

Kazi ya kuopoa ndege hiyo imefanywa kwa ushirikiano wa serikali, taasisi binafsi na vikosi mbalimbali.