Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka mitatu madarakani.

0
204

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na watumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), tunatoa pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka mitatu madarakani. Kwa hakika tumeshuhudia uongozi bora katika sekta zote. Mwenye macho haambiwi tazama, kazi zako zinaongea. Tunakutakia kheri na baraka tele. Watanzania tuko nyuma yako kukuunga mkono.