Ofisi ya Waziri Mkuu yaomba Bilioni 339 mwaka 2023/2024

0
194

Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge imeomba shilingi Bilioni 173.7 kwa mwaka wa fedha wa 2023/2024 ambapo kati ya fedha hizo shilingi Bilioni 121.3 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi Bilioni 52.3 ni kwa ajili ya matumizi ya mendeleo.

Pia imeliomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi Bilioni 165.6 kwa ajili ya mfuko wa Bunge ambapo kati ya fedha hizo shilingi Bilioni 160.4 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi Bilioni 5.1 ni kwa ajili ya matumizi ya maendeleo.