Nusu fainali UMISSETA

0
211

Katibu Mkuu wa wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Dunstan Kyobya pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa wizara hiyo Yusuph Singo, wakifuatilia nusu fainali za michezo ya Umoja wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA), ambapo mtanange wa leo kwa soka ulikuwa kati timu za Wavulana za mikoa ya Mtwara na Dodoma.

Hadi mwisho wa mtanange huo, Mtwara wameibuka na ushindi wa magoli 1-0 dhidi ya timu ya Dodoma.