Ngorongoro tumewafikia

0
214

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Aisha Dachi na Mwenyekiti wa Badi ya TBC Stephen Kagaigai wakiwa katika uzinduzi wa kituo cha kurushia matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM (Loliondo Ngorongoro) kwenye kiwanja cha Kasim Majaliwa Majaliwa.