Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akiwa na viongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) katika eneo la mradi wa ujenzi wa makao makuu ya ofisi za TBC, Vikonje, Jijini Dodoma.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu inautembelea mradi huo pia kwa ajili kuona maendeleo ya utekelezaji wake.