Rais wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi, tarehe 8 mwezi huu anatarajia kuzindua Tawasifu yake iitwayo ‘Mzee Rukhsa; Safari ya Maisha Yangu’.
Tawasifu hiyo itazinduliwa katika Taasisi ya Uongozi mkoani Dar es salaam.