Mwenge wa Uhuru waingia Mkoani Mbeya

0
146

Mwenge Maalum wa Uhuru, umeanza ziara mkoani Mbeya ambapo Mkuu wa mkoa huo Juma Homera ameema miradi therathini na tatu yenye thamani ya zaidi ya bilioni kumi na nne nukta nane itazinduliwa na kukaguliwa

Homera amesema hayo mara baada kupokea Mwenge huo,kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhandisi Marwa Rubirya na kueleza kuwa ukiwa mkoani huyo mwenge huo utakimbizwa katika halmashauri saba za mkoa huo