Mwenendo wa sensa nchini

0
117

Mratibu wa zoezi la sensa kitaifa Seif Kuchengo anasema kuwa zoezi hilo hilo linaendelea vizuri ambapo amesema kuwa kuna dodoso maalumu ambalo linatutumika kwa kaya ambazo wahusika hawatokuwa nyumbani kipindi makarani wakapopita

Kupitia dodoso hilo karani utaweza kufuatilia tarifa za kaya kwa ukaribu zaidi

Pia Ametoa wito kwa wanaoiba vifaa vya kutendea kazi za sensa waache mara moja kwa kuwa vifaa hivyo ni mali ya serikali na kwamba hatua kali zitachukuliwa kwa watakao bainika kuiba vifaa hivyo.