Mwandosya kuongoza bodi EWURA

0
184

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Mark Mwandosya kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA).

Profesa Mwandosya anachukua nafasi ya Profesa Jamidu Hazzam Yahaya ambaye amemalizia muda wake.

Uteuzi huo umeanza tarehe 15 mwezi huu.