Wananchi mbalimbali wa wilaya ya Makambako wamejitokeza kushiriki Mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Njombe ambao ameuandaa mahususi kusikiliza na kutatua changamoto zao.
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kupitia TBC1, TBC Taifa na mitandao ya kijamii ya TBCOnline tunakuletea mbashara mkutano huo kutoka uwanja wa stendi ya zamani.