Mkunga aeleza kujifungua kwa upasuaji kulivyo na athari zaidi

0
623

Wakati kukiiwepo na ongezeko la wanawake wanapendelea kujifungua kwa njia ya upasuaji, tofauti na njia ya kawaida, wataalam wa afya wamesema njia ya upasuaji ina athari zaidi.

Akizungumza na TBC, Loveluck Mwasha ambaye ni mkunga amesema kuwa njia hiyo si salama kama ilivyo njia ya asili, huku akiwahimiza wanawake wenzake kutumia njia ya asili.

“Mabinti wadogo ningewashauri kwamba, if they want real to experience ile motherhood wajiruhusu kujifungua kwa njia ya kawaida,” amesema Mwasha.

Hapa chini ni taarifa kwa kina iliyoandaliwa na Mwanaaridhio Yafis Yasin;