KitaifaMjadala wa wabungeBy James Range - September 16, 20220166ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Baadhi ya wabunge wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza kwa kikao cha nne cha mkutano wa 8 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mkoani Dodoma. Hii leo Bunge litajadili azimio la Bunge la kuridhia kufuta hasara/ upotevu wa fedha na vifaa vya serikali kwa kipindi kilichoishia tarehe 30 Juni, 2022.