Mifumo ya kisheria ni mingi

0
207

“Tunakwenda kuwaelimisha wananchi kuhusiana na mifumo ya kisheria, mifumo hii ni mingi wakati mwingine wananchi hawajui suala lao wapeleke wapi, ana tatizo la kisheria anapeleka kwenye forum [jukwaa] ambayo sio ya kwake.

Lazima wananchi waijue mifumo ya kisheria kama ni migogoro ya ardhi basi kuna mahakama za ardhi kama ni kesi za kawaida tuna mahakama za mwanzo, wilaya, hakimu mkazi, mahakama kuu, mahakama ya rufani. Kama ni migogoro ya kodi kuna Trab na Trat.”

Waziri wa Katiba na Sheria , Dkt. Damas Ndumbaro