Mhandisi Joel Chacha azikwa

0
165

Watu mbalimbali wameshiriki katika mazishi ya Mhandisi Joel Chacha, Mhandisi Mkuu Mwandamizi – Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) aliyefariki dunia tarehe 26 mwezi huu huko Mbweni mkoani Dar es Salaam.

Mazishi ya Mhandisi Joel Chacha yamefanyika katika mtaa wa majengo mapya kata Kenyamanyori wilaya ya Tarime mkoani Mara.