KitaifaSamizi aibuka mshindi jimbo la MuhambweBy TBC - May 17, 20210178ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Mgombea wa CCM, Dkt. Florence Samizi aibuka mshindi uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Muhambwe. Awali, jimbo hili lilikuwa likiwakilishwa na marehemu Mhandisi Atashasta Nditiye.