Mazungumzo kabla ya kikao cha Bunge

0
175

Baadhi ya wabunge wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza kwa kikao cha tatu cha mkutano wa 8 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mkaoni Dodoma.
Hii leo Bunge litajadili Muswada wa sheria ya usimamizi wa Rasilimali za Maji wa mwaka 2022.