Matukio makubwa 2022

0
138

Mwaka 2022 yalitokea mengi makubwa nchini, baadhi yaliweka tabasamu kwenye nyuso na mengine yakatiririsha machozi.

Kwa upande wako, ni tukio gani kubwa la mwaka 2022 ambalo lilikugusa zaidi na hutolisahau?.