MATUKIO KWA PICHA ZIARA YA RAIS SAMIA MWANZA – SIKU YA KWANZA

0
174

Ndege iliyombeba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ikiwasili Uwanja wa Ndege wa Mwanza.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Amos Makalla akimpokea Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kushuka kwenye ndege mkoani hapo.
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali waliofika Uwanja wa Ndege wa Mwanza kumkaribisha mkoani hapo.

Rais Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi [hawapo pichani] waliojitokeza kwa wingi kumkaribisha mkoani Mwanza.